Akaunti Nne (4) Za Faida Kwako
Faida za Akaunti ya Mavuno
Faida za Akaunti ya Vijana
Faida za Akaunti ya Uchumi
Faida za Akaunti ya Elimu junior
"Nafurahia kuwa na akaunti ambayo naweka pesa bila makato yoyoye kwa mwezi. Ahsante sana uchumi benki"
"Niliposikia uchumi benki hawana makato yoyote nilifungua akaunti haraka maana makato yanaumiza sana"
Maisha ni rahisi na salama pale unapoweza kufanya yote unayotaka kufanya bila kikwazo. Sisi tumekuondolea vikwazo vya makato kwenye miamala yako pamoja na gharama za uendeshaji wa akaunti yako za kila mwezi. Nia yetu ni kukuwezesha usikwame kufikia malengo yako kwa wakati sahihi.