Akaunti Tatu (3) Za Faida Kwako
Fungua akaunti ya akiba unufaike na BIMA inayoKAVA majanga ya kifo pale utapo ondokewa na mwenza wako au wewe mwenyewe au ulemavu wa kudumu..
Maisha ni rahisi na salama pale unapoweza kufanya yote unayotaka kufanya bila kikwazo. Sisi tumekuondolea vikwazo vya makato kwenye miamala yako pamoja na gharama za uendeshaji wa akaunti yako za kila mwezi. Nia yetu ni kukuwezesha usikwame kufikia malengo yako kwa wakati sahihi.