Kitu gani unakithamini maishani?
Fungua akaunti ya akiba unufaike na BIMA inayoKAVA majanga ya kifo pale utapo ondokewa na mwenza wako au wewe mwenyewe au ulemavu wa kudumu..
Wasilisha taarifa zako muhimu hapo chini na kuchagua aina ya Bima unayohitaji. Ombi lako litapokelewa na kufanyiwa kazi punde utakapowasilisha.