...
Need More Information?
Please Call Us
(+255) 748 465 131

Need a special banking service? we're glad to fulfil each request that allows you to exceed your experience.

Beyond service & more than just banking!

We offer convenience at your presence and beyond with Uchumi Bank's branches, servicing centers, our agencies and alternative digital channels. Uchumi Commercial Bank we say "USIKWAME"

Our Mostly Trending Products

Elimu Junior Account
Bancassurance
Mavuno Acccount
Mkopo wa Watumishi
Overdrafts
Forex Account
Fixed Deposits
Haba na Haba Account
Current Account
OUR PRODUCTS LIST

Wekeza na Uchumi benki mpaka asilimia 11 kupitia akaunti mbalimbali ili kuongeza thamani ya pesa yako muda wote.

Uchumi benki imewaletea Watumishi wa Serikali na taasisi binafsi mkopo huu kwa kipindi hadi cha miaka 8.

Ni mkopo unaotelewa kwa kikundi kuanzia watu (05) na kuendelea wenye masharti na riba nafuu kwa Mwanachama/Wanachama ndani ya kikundi.

Jisajili sasa kidigitali ufurahie uhuru wa kufanya miamala mbalimbali ya kibenki 24/7 popote ulipo.

Hii ni akaunti ya akiba mahususi kwa ajili ya Wanawake wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Supa Woman inaruhusu wanawake kuweka akiba kidogo kidogo na kufurahia faida zote za benki na kiwango kizuri

Hii ni huduma mahsusi kwa ajili ya mawakala wa Uchumi Commercial Bank, Huduma hii inamuezesha wakala wa Uchumi Bank kuwa na float wakati wote ili kuhakikisha anatoa huduma bora na ya uhakika.

Ni akaunti ambayo mzazi/mlezi anaweza kumwekea mtoto akiba ya maisha ya baadaye “Tengeneza kesho ya mwanao leo na Elimu Junior”.

Tumekuletea mkopo rahisi wa bima (IPF) ili kulinda mali zako na majanga mbalimbali wakati wowote kwa bei nafuu kabisa.

Akaunti ya mavuno ni akaunti unayoweza kuwekeza kidogo kidogo isiyo na gharama yoyote ya uendeshaji na inayokupa faida kubwa hadi 9% kwa mwaka.

Mkopo huu umeundwa kupanua huduma ya mikopo kwa wateja Waajiriwa wa Serikali na Taasisi/Makampuni binafsi dhidi ya mishahara yao ili kukuza kipato na kutimiza malengo yao.

Huu ni mkopo kwa wateja ambao wanahitaji kukamilisha majukumu yao ya kukuza mtaji wa kufanya kazi wanapongojea kukusanya kutoka kwa wadeni wao.

Hii ni akaunti mahususi kwa wateja wanaotumia fedha za kigeni na kupokea malipo mbalimbali kutoka nje ya nchi hata ndani ya nchi.

Ni akaunti inayozalisha riba kulingana na kiwango cha fedha na muda ambao fedha hizo hukaa benki.

Ni akaunti inayokuwezesha kuweka akiba kidogo kidogo (Saving Account) na kufanya uweze kufikia malengo yako ya badae kwa wakati.

Akaunti hii hurahisisha ulipaji wa malipo mbalimbali na kwa haraka zaidi kwa kutumia hundi ili kutimiza malengo yako ya biashara.

+255 748 465 131
customerservice@uchumibank.co.tz